Usafirishaji Mzigo Dar Nairobi

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
Msaada kampuni ipi inasafirisha mizigo Dar hadi Nairobi kwa bei nafuu? Uzito wa mzigo hauzidi kilo mia tatu.
 
Mzigo gani kaka? Maana tusije kubebeshana sembe tu. Mimi huwa nasafiri sana kati ya dar-arusha na nairobi. So tunaweza kuongea biashara
 
Mzigo gani kaka? Maana tusije kubebeshana sembe tu. Mimi huwa nasafiri sana kati ya dar-arusha na nairobi. So tunaweza kuongea biashara

mkuu kutoa incubator machine nairobi to dar bei gani ina kilo mia na ishirini
 
3 Million Tshs. Mkuu nakufikishia mpaka mlangoni kwako. Mambo ya pale border yote juu yangu
 
Elungata hii ni biashara huria. Mimi nimetamka bei yangu. Kampuni yetu inasafirisha mizigo kwa ndege za mizigo kati ya Dar,arusha, zanzibar, Nairobi, mombasa, kisumu,kigali, entebbe/kampala na bujumbura.
 
Vipi Mabasi ya Dar NRB yanatoa huduma freight forwarding? Bei zao vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…