K katofu Member Joined Oct 1, 2015 Posts 14 Reaction score 4 Aug 26, 2016 #1 Naomba anayejua gharama za kusafirisha container yenye mzigo 1x20ft kutoka Dar mpaka mbeya na kutoka Dar mpaka Mwanza, mwenye kujua bei inayotumika kwa sasa anisaidie.
Naomba anayejua gharama za kusafirisha container yenye mzigo 1x20ft kutoka Dar mpaka mbeya na kutoka Dar mpaka Mwanza, mwenye kujua bei inayotumika kwa sasa anisaidie.
Baba Davey Member Joined Jun 8, 2016 Posts 12 Reaction score 9 Aug 27, 2016 #2 Bei inategemeana na mzigo ulionao pamoja na uchu wa pesa wa driver .