Usagaji Twiga Stars?

Mkwasa haja pitia somo la argumentation:
Jamii zetu zina wasagaji miongoni mwetu.
Twiga stars inaundwa na wanajamii miongoni mwetu
Twiga stars inawachezaji wasagaji miongoni mwao.

Simple.
 
Reactions: Taz
inasikitisha sana! ladba watafute namna ya kahakikisha kuwa wanapata nafasi ya kujimix na wanaume pia ili wapate muamko wa hisia zao na kuanza mahusiano na wanaume maana wakibaki wenyewe wenyewe tu muda wote, kwa akili zao zilivyo ndio maana wanafanya habai hizo...Mungu tunusuru!
 
Kum-binua kifo cha Mende mtu Kakomaa vile inataka Moyo...bora wa rambane rambane wenyewe

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hahaha hamna lolote...mkwasa kashindwa kazi. kuwa lesbian has got nothing to do with footballing ability. mkwasa kigeugeu mara hawafundishiki mara malesbians...hizo zote visingizio. mbona timu ya taifa ya japan ambao ni mabigwa wa dunia katika soka la wanawake walipigana picha za uchi lakini kocha hakutoka hadaharani na kupwayuka.

mkwasa was wrong in handling the situation...ata kama wapo malesbians humo na yeye hayupo happy alitakiwa aende awaambie TFF kuwa na resign na this is the reason ila press conference shuld state kuwa ame resign for personal reasons. sasa katibu hali ya hewa hapo na wachezaji will be forced to defend themselves na pia kupata wanawake wakucheza soka itakuwa ngumu.
 
Reactions: Taz
Mungu atawasalimisha mikoni mwake kwa wakati wake.
 
Kama rais asingekuwa dhaifu angeifuta tu timu ya football ya wanawake; Hata ingekuwa ya Kiume harafu tusikie eti wanafumuana man-to-man, ningeomba ifutwe pia. IFUTWE KABISAAAAAA
 
Wala sishangai,hivi mtu kama Esther Chabruma unategemea nini.
 
Miili yao yenyewe... Sisi inatuhusu nini?
 
Reactions: Taz
This is not right... adult people should be free to chose their sexual partners without any external pressure. pilipili shambani inakuwashaje?
 
This is not right... adult people should be free to chose their sexual partners without any expernal poressure. pilipili shambani inakuwashaje?
punga a.k.a bwabwa in the house....unatafuta nini hapa na wewe, si ubakie huko huko kwenye mitandao ya kameruni? ona aibu...pusi we.
 
punga a.k.a bwabwa in the house....unatafuta nini hapa na wewe, si ubakie huko huko kwenye mitandao ya kameruni? ona aibu...pusi we.

Majibu mazuri kwa mabwabwa wote THANKS coz nipo mobile ningekugongea LIKE
 
Ninacheweza kusema ni hiki
"" Hawajapata wa kuwakoleza hao, mwanamke aliyekamilika, akawa na nyege zake, akapata mkunaji haswa, akamkamua vya kutosha na AKAKOJOA"" ......huwezi kumsikia anafanya hayo mambo . Muhogo una raha yake jamani , narudia tena hao wanaohangaika kusagana.. hawajui utamu wa MUHOGO ...Na hawajafikishwa hao, wakipata wakuwafikisha WATAACHA.
 
punga a.k.a bwabwa in the house....unatafuta nini hapa na wewe, si ubakie huko huko kwenye mitandao ya kameruni? ona aibu...pusi we.
we kinachokuuma nini hasa? unaogopa competition ya wanawake? Siwezi amini kazi imekushinda kiasi hicho! Kama unauhakika na ujuzi wako, utendaji wako wa kazi sasa unababaika na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…