gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,610
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nikitazama hii video hapa chini inanitoa machozi
Nawaza IPI ni future ya watoto na Dada zetu kesho kama imefikia stage in Tanzania mdada anavalishwa Pete na msagaji tena kwa wazi kama hv
Pia naskia Huyu Dada ndo zake
au ni watz ila wanaishi nje ya nchi?Aisee nashindwa hata cha kusema.bro
Kinachoniahangaza ni haya matukio yamekua very common na serikali haisemi chochote
Kila nikitazama hii video hapa chini inanitoa machozi
Nawaza IPI ni future ya watoto na Dada zetu kesho kama imefikia stage in Tanzania mdada anavalishwa Pete na msagaji tena kwa wazi kama hv
Pia naskia Huyu Dada ndo zake
Acha uongo bana anaonekana wazi kabisa ni mwanamke we unatuambia mwanaume!Hakuna mwanaume kati ya hao wawili wote ni wanawake!Huyo rasta ndo mwanaume,huyo white ndo mwanamke
Ptuuuuu...shame on them..