pia nilichogundua kwa sasa kuna vita kubwa sana ya kiuchumi kati ya Tanzania na ulaya baada ya Tanzania kukata mirija ya madini na makinikia kwa ujumla safi sana mh.
lakini wandugu inabidi tupigane kwanza na hii njaa tulio nayo. dunia hii huwezi kukata kitu kinachosukumwa na wakubwa wakati una njaa na wanakulisha wao. tupigane kwanza tuyaweze mambo yetu halafu hivyo vya kukataa tutaviweza kirahisi. hivi sasa hizo comment zote are only wishful thinking. utajaa huo ushoga in a matter of ten years, trust me.