WA KISHUA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 365
- 130
Wahenga hawakukosea kabisa pale waliposema Duniani hakuna siri na siku zote kuishi kwingi ni kuona mengi.
Nisingependa niwachoshe sana wanajamvi wenzangu, ngoja niende moja kwa moja katika pointi.
Wikiendi iliyopita wakati natoka site kwangu Tabata, nikaona nitafute sehemu nzuri niweze kupata moja moto, moja baridi.
Baada ya kufikia eneo la tukio nikapitiliza moja kwa moja mpaka Counter kwenye viti virefu nikaagiza Masanga(Beer) huku nikisoma gazeti langu.
Wakati naendelea kupata kilaji, pembeni yangu alikuwepo dada m1 'JIKE DUME' nae alikuwa akikata vyombo huku akichezea simu yake.
Nikaona sio mbaya ngoja nimchokoze kidogo, nikamuagizia beer 2 na ndipo story zilipoanza.
Aliniuliza kama mimi ni mwenyeji wa Tabata, nikamueleza kwamba nimetoka kwenye site yangu, basi tukaendelea kupiga story za hapa na pale, ghafla nikamchomekea nikamwambia sura yako sio ngeni japo sikumbuki nilikuona wapi.
Akasema ni kweli yeye alikuwa akichezea timu ya Taifa ya Wanawake 'Twiga Stars' katika safu ya ushambuliaji lakini hata hivyo hakuweza tena kuendelea na sasa anafanya kazi kwenye kampuni moja kubwa ya simu hapa nchini.
Katikati ya story nikamtumbukizia kuhusiana na ile kashfa kubwa iliyoikumba Twiga Stars kuhusiana na kujihusisha na vitendo vichafu vya USAGAJI.
Hapo ndio kama nilimwaga Petrol kwenye moto, akaniambia ni kweli hivyo vitendo viafanyika baina ya wachezaji kwa wachezaji pamoja na viongozi wa timu yao.
Basi akaendelea kutiririka kuwa kuna mwanamama m1 ambaye mara nyingi huwa anakuwa ni mkuu wa msafara wa timu hiyo na kiongozi pia ambaye ilifika kipindi alisababisha ugomvi baina ya mchezaji mwenzao na kocha wao msaidizi.
Chanzo cha ugomvi akanieleza kuwa ni wivu wa kimapenzi, yaani huyo mama mlezi(Jina Lake linaanziwa na ''L'') alikuwa akisagwa na mchezaji mwenzao pamoja na huyo kocha msaidizi anayetokea Tanzania Visiwani ambaye ukimuangalia ni mama m1 wa makamo.
Sio siri nilichoka, akasema kwamba hata kipindi walichokuwa wakinolewa na kocha mkuu(Jina nalihifadhi kutokana na heshima yake) yeye ni mwanaume lakini alikuwa akitumia madaraka yake kuwatafuna wachezaji wa timu hiyo na wale waliokuwa wakimtilia ngumu alikuwa haoni shida kuwapiga benchi.
Basi baada ya hapo ikabidi nimuage, niingie kwny Range Yangu ya Kijapan(Nissan Murano) nikachapa zangu lapa.