acha upotoshaji muungwana 🐒Sie tunajua "ametumbuliwa" kwa sasa, by the way yule ni mwajiriwa wa serikali ajira yake inakoma mpaka pale atakapotimiza miaka 60. Hivyo mwajiriwa yoyote wa serikali akitumbuliwa lazima apangiwe majukumu mengine tofauti na wateule wa kisiasa kama ma-RC, DC etc wao wakitumbuliwa wanakaa benchi. Hivyo basi "mtumbuo" wa Mtumishi wa umma (mwajiriwa) sio sawa na "mtumbuo" wa Mtumishi wa umma (mwanasiasa).....mwajiriwa automatically atakuwa na majukumu mengine hata kama isipotangazwa.
Tuseme tu AMETUMBULIWA
Nimepotosha nini mkuu hapo, huyo ni mwajiriwa atarudi kwenye kazi yake ya zamani au kesho tu akiingia ofisini lazima atakuta maelekezo. Ila "kutumbuliwa" kupo pale pale kwenye nafasi yake ya teuzi ila atabaki kuwa mtumishi wa umma na mwisho wa mwezi unaingia kama kawaidaacha upotoshaji muungwana 🐒
unaogopa kichapo eh, na mm nimekutag makusudically.Ndio unasema uongo
Uwe na subira uambiwe majukumu yake mapya .Anarudi kwenye kazi yake ua uhadhiri wa chuo diplomasia pale
Wala huhitaji kupaniki kama mlevi taarifa ipo wazi na imenyooka kuwa AMEPANGIWA MAJUKUMU MENGINE.We nae ni tahira, huo usahihi wewe unatoa wapi kama bado unakuja na "anaweza"!!. Punguza ujinga taarifa inavyotolewa ndivyo inapokelewa.... Wewe una uhakika gani kuwa itakuwa nafasi kubwa kuliko wanaoona ameshushwa.
Punguza utahira na kujaza seva za jf.... Na huyo msuguliwa kipochi manyoya wenu. Bata waheed
Nampenda sana ephen na wala siwezi kuinua mkono wangu hata kwa bahati mbaya kumpiga.Mimi kazi yangu ni kummiminia upendo kama bomba la maji lililopasuka.unaogopa kichapo eh, na mm nimekutag makusudically.
So far hayo majukum wewe unajua ni makubwa?, Kwanini unataka kuonesha wewe ndio unajua kuliko wanaodhani sio makubwa?. Huu ni ujuha na ushoqer pro.... Unatolea ufafanuzi wa Jambo lilowazi 😅😅 bata Waheed.Wala huhitaji kupaniki kama mlevi taarifa ipo wazi na imenyooka kuwa AMEPANGIWA MAJUKUMU MENGINE.
Acha kukurupuka ndugu yangu.soma na urudie kusoma lugha na maneno nilitoyatumia kama yanaendana na hiki alichokisema weweSo far hayo majukum wewe unajua ni makubwa?, Kwanini unataka kuonesha wewe ndio unajua kuliko wanaodhani sio makubwa?. Huu ni ujuha na ushoqer pro.... Unatolea ufafanuzi wa Jambo lilowazi 😅😅 bata Waheed.
Acha kiherere kama demu mwenyew nyege za miaka 60....Acha kukurupuka ndugu yangu.soma na urudie kusoma lugha na maneno nilitoyatumia kama yanaendana na hiki alichokisema wewe
sitisha upotoshaji,Nimepotosha nini mkuu hapo, huyo ni mwajiriwa atarudi kwenye kazi yake ya zamani au kesho tu akiingia ofisini lazima atakuta maelekezo. Ila "kutumbuliwa" kupo pale pale kwenye nafasi yake ya teuzi ila atabaki kuwa mtumishi wa umma na mwisho wa mwezi unaingia kama kawaida
Naona utoto bado umekujaa kichwani mwako.Acha kiherere kama demu mwenyew nyege za miaka 60....
Unaelewa maana ya kauli amepangiwa MAJUKUMU MENGINESasa hapo unachokipinga ni nini,kati yao na wao ni nani asiyefahamu.ukweli ni kuwa ametumbuliwa (kuondolewa) lwenyw cheo chake na amepangiwa majukumu mengine.na hayo majukumu mengine huwa wanarudi kwa vyeo vyao vya awali kabla hawajapewa vyeo vya kiuongozi au anaweza akawa pia amepangiwa majukumu ya kiuongozi mahala pengine.
Sio kila majukumu ya kiuongozi yanatangazwa kwa umma,mfano nafasi za Wakurugenzi katika Mawizara,mashirika na taasisi za umma huwa hawatangazi.Uwe na subira uambiwe majukumu yake mapya .
Kuna nafasi ambazo ni kweli hazitangazwi,lakini ni chache sana ukilinganisha na zile zinazotangazwa hasa zile ambazo zinaidhinishwa na kupewa kibali na Mheshimiwa Rais ,ambaye yupo kwa niaba yetu watanzania,na anafanya hivyo kama sehemu ya kutupatia haki sisi wananchi wake.Sio kila majukumu ya kiuongozi yanatangazwa kwa umma,mfano nafasi za Wakurugenzi katika Mawizara,mashirika na taasisi za umma huwa hawatangazi.
Hata hiyo ya Ukurugenzi wa habari na msemaji Mkuu wa Serikali inatangazwa kutokana na umuhimu wake ili umma wamufahamu kujenga credibility iwapo habari ikitoka kwake umma uiamini vingonevyo isingetangazwa.
Unahangaika sana Lukasi.
Sisi ni watu wazima, tunaona kinachoendelea
Kwani umeelewa maana ya taarifa yangu na maudhui yake? Au umekurupuka tu.Katika wanyama wa ajabu ni tumbili kazi Yao kuruka Toka tawi Hili na kurukia kule naona mleta mada Kwa kuruka ruka matawi hujambo umesharuka Toka tawi la Kafulila Sasa umerukia tawi.la aliyekuwa msemaji wa Serikali tawi lingine utakalorukia baada ya hapo sijui ni wapi Ngoja tusubiri