Naamini Ni mabadiliko ya kawaida kabisa katika kuboresha utendaji kazi na kuchochea ufanisi na kuleta matokeo chanya zaidi. Kwa sababu mkopo wetu haikuwa wa siri kwamba siri zimevuja ,bali ni mkopo wa wazi kabisa ambao ulitangazwa hadharani na kutolewa ufafanuzi mzuri kabisa ambao wananchi walielewa vyema sana faida na uzuri wake ,hasa udogo wa tiba yake ya 0.01% na kulipwa kwa muda wa miaka 40Mkopo wa korea unawagaragaza watu!
Ukiwa mtumishi wa umma unaweza kupangiwa majukumu na Mheshimiwa Rais mahali popote pale ndani na nje ya Taifa letu.Mbona nguvu kubwa mno. Kwani hawezi kua na majukumu madogo kuli y mwanzo.
KAZI ni kipimo cha UTU
WEWE ni NANI mpaka utoe ufafanuzi wa teuzi za raisi kisokolo kwinyoNdugu zangu watanzania,
Nimeona ni kama kiswahili kimekuwa kigumu kidogo kwetu watanzania japo ndio lugha yetu ya Taifa au huwa tunasoma taarifa kwa juu juu tu,kama kawaida yetu ya baadhi yetu watanzania ya uvivu wa kusoma habari au taarifa kwa umakini na utulivu.
Nimepita baadhi ya maeneo na kwenye kurasa mbalimbali za Mitandao za baadhi ya watu,nimeshangaa wakitumia maneno kuwa aliyekuwa msemaji mkuu wa serikali ametumbuliwa,jambo ambalo siyo kweli .
Ukweli na usahihi ni kuwa taarifa ya ikulu inasema kuwa AMEPANGIWA MAJUKUMU MENGINE,ambapo majukumu hayo bila shaka yatatangazwa muda wowote ule kwa umma, ili umma ujuwe mtumishi wao ni nani katika nafasi fulani.
Na unaweza kuta majukumu hayo mengine mapya yanaweza kuwa makubwa sana kuliko majukumu aliyokuwa nayo Awali. Kwa hiyo tuendelee kuwa na subira na utulivu kusubiri majukumu hayo mapya.
Japo ningependa pia kuwaambia ya kuwa siyo kila nafasi ya uteuzi huwa inatangazwa.yaani namaanisha zipo nafasi nyeti ambazo Rais anaweza mteua mtu au kumpangia mtu Majukumu na isitangazwe kwa watu,kutokana na unyeti wake. Ndio maana ukiwa kiongozi sehemu fulani unapaswa kuwa mtulivu na mwenye kudhibiti na kuchunga Ulimi wako. Siyo kuwa roporopo tu ,kwa kuwa ulimi wako unaweza kukukosesha baadhi ya nafasi kufikiriwa kupewa.hasa zinazohitaji usiri mkubwa wa taarifa na kila kitu ukionacho na kukifanya.
Kuelewa hiki nilichokizungumza basi angalia katika orodha hii ya majina hapo chini uende mpaka namba (IV )uone lugha iliyotumiwa katika taarifa ya Ikulu .View attachment 3018479View attachment 3018479
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndugu zangu watanzania,

Mimi ni Mwashambwa ambaye nimefanya kutumia akili kidogo tu kwa kile kilichotolewa na Ikulu kama taarifa,ambapo hata wewe tu ungeweza kutoa bila kujali nafasi yako. Ni katika kuwekana sawa tu. Kama hujaelewa uliza swali.WEWE ni NANI mpaka utoe ufafanuzi wa teuzi za raisi kisokolo kwinyo
Kiukweli msemaji pia alikuwa amepwaya tangu kuondolewa wale waliopita huyu hata serikali inaposhambuliwa yeye hatoi ufafanuzi yupo tu aliibuka ghafla kutolea ufafanuzi pale ilipoibuka uzushi wa kadhia ya bwawa la nyerere kufunguliwa maji tena kwa kusukumwa unaona kabisa hakujiandaa!Naamini Ni mabadiliko ya kawaida kabisa katika kuboresha utendaji kazi na kuchochea ufanisi na kuleta matokeo chanya zaidi. Kwa sababu mkopo wetu haikuwa wa siri kwamba siri zimevuja ,bali ni mkopo wa wazi kabisa ambao ulitangazwa hadharani na kutolewa ufafanuzi mzuri kabisa ambao wananchi walielewa vyema sana faida na uzuri wake ,hasa udogo wa tiba yake ya 0.01% na kulipwa kwa muda wa miaka 40
Kuna mambo mengine siyo lazima yanatolewa ufafanuzi ja msemaji mkuu wa serikali.bali mambo mengine yanatolewa ufafanuzi na wizara husika.Kiukweli msemaji pia alikuwa amepwaya tangu kuondolewa wale waliopita huyu hata serikali inaposhambuliwa yeye hatoi ufafanuzi yupo tu aliibuka ghafla kutolea ufafanuzi pale ilipoibuka uzushi wa kadhia ya bwawa la nyerere kufunguliwa maji tena kwa kusukumwa unaona kabisa hakujiandaa!
Sie tunajua "ametumbuliwa" kwa sasa, by the way yule ni mwajiriwa wa serikali ajira yake inakoma mpaka pale atakapotimiza miaka 60. Hivyo mwajiriwa yoyote wa serikali akitumbuliwa lazima apangiwe majukumu mengine tofauti na wateule wa kisiasa kama ma-RC, DC etc wao wakitumbuliwa wanakaa benchi. Hivyo basi "mtumbuo" wa Mtumishi wa umma (mwajiriwa) sio sawa na "mtumbuo" wa Mtumishi wa umma (mwanasiasa).....mwajiriwa automatically atakuwa na majukumu mengine hata kama isipotangazwa.
Tuseme tu AMETUMBULIWA
Umeshaambiwa kuwa amepangiwa Majukumu Mengine na siyo kukaa benchi...wanakaa benchi huku akiendelea kupokea mshahara wa msemaji Mkuu wa serikali.
Hivi wewe Mama Kafulila una cheo gani kingine?Ndugu zangu watanzania,
Nimeona ni kama kiswahili kimekuwa kigumu kidogo kwetu watanzania japo ndio lugha yetu ya Taifa au huwa tunasoma taarifa kwa juu juu tu,kama kawaida yetu ya baadhi yetu watanzania ya uvivu wa kusoma habari au taarifa kwa umakini na utulivu.
Nimepita baadhi ya maeneo na kwenye kurasa mbalimbali za Mitandao za baadhi ya watu,nimeshangaa wakitumia maneno kuwa aliyekuwa msemaji mkuu wa serikali ametumbuliwa,jambo ambalo siyo kweli .
Ukweli na usahihi ni kuwa taarifa ya ikulu inasema kuwa AMEPANGIWA MAJUKUMU MENGINE,ambapo majukumu hayo bila shaka yatatangazwa muda wowote ule kwa umma, ili umma ujuwe mtumishi wao ni nani katika nafasi fulani.
Na unaweza kuta majukumu hayo mengine mapya yanaweza kuwa makubwa sana kuliko majukumu aliyokuwa nayo Awali. Kwa hiyo tuendelee kuwa na subira na utulivu kusubiri majukumu hayo mapya.
Japo ningependa pia kuwaambia ya kuwa siyo kila nafasi ya uteuzi huwa inatangazwa.yaani namaanisha zipo nafasi nyeti ambazo Rais anaweza mteua mtu au kumpangia mtu Majukumu na isitangazwe kwa watu,kutokana na unyeti wake. Ndio maana ukiwa kiongozi sehemu fulani unapaswa kuwa mtulivu na mwenye kudhibiti na kuchunga Ulimi wako. Siyo kuwa roporopo tu ,kwa kuwa ulimi wako unaweza kukukosesha baadhi ya nafasi kufikiriwa kupewa.hasa zinazohitaji usiri mkubwa wa taarifa na kila kitu ukionacho na kukifanya.
Kuelewa hiki nilichokizungumza basi angalia katika orodha hii ya majina hapo chini uende mpaka namba (IV )uone lugha iliyotumiwa katika taarifa ya Ikulu .View attachment 3018479View attachment 3018479
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha ujinga wako hapa.Hivi wewe Mama Kafulila una cheo gani kingine?
PUNGUZA UJUAJI MKUU USIJIFANYE KILA KITU UNAJUANdugu zangu watanzania,

Ujuaji upi tena. Ungeeleza ni wapi nimekosea.andiko langu limejikita katika taarifa iliyotolewa na IkuluPUNGUZA UJUAJI MKUU USIJIFANYE KILA KITU UNAJUA
NANI alikuomba utoe ufafanuzi wakati wahusika kwenye JAMBO Hilo wapo huoni kama ni mwenderezo wa ujuha wako?Mimi ni Mwashambwa ambaye nimefanya kutumia akili kidogo tu kwa kile kilichotolewa na Ikulu kama taarifa,ambapo hata wewe tu ungeweza kutoa bila kujali nafasi yako. Ni katika kuwekana sawa tu. Kama hujaelewa uliza swali.
Acha uvivu wa kutumia kili yako.kwani taarifa iliyotolewa na Ikulu hujaiona? Kwamba hata kitu cha kutumia akili ndogo tu na ambacho kinaeleweka kwa mwenye kutumia akili unataka mpaka upewe ufafanuzi tena? Kweli wewe bado sana kukomaa kiakiliNANI alikuomba utoe ufafanuzi wakati wahusika kwenye JAMBO Hilo wapo huoni kama ni mwenderezo wa ujuha wako?
Ninachosema ACHA au punguza kihele hele chako wewe ni chawa wa watu huku unako lazimisha siko mtumikie bashite tu kama mumeo au tumbili huko ndio saizi Yako fala weweAcha uvivu wa kutumia kili yako.kwani taarifa iliyotolewa na Ikulu hujaiona? Kwamba hata kitu cha kutumia akili ndogo tu na ambacho kinaeleweka kwa mwenye kutumia akili unataka mpaka upewe ufafanuzi tena? Kweli wewe bado sana kukomaa kiakili
Umeshaambiwa kuwa amepangiwa Majukumu Mengine na siyo kukaa benchi.
Ndio maana huwa nasema akili yako ni ndogo sana.Ninachosema ACHA au punguza kihele hele chako wewe ni chawa wa watu huku unako lazimisha siko mtumikie bashite tu kama mumeo au tumbili huko ndio saizi Yako fala wewe
Tunasema punguza kihele hele au ACHA kabisa punga mzoefu weweNdio maana huwa nasema akili yako ni ndogo sana.