Ok kwanza itabidi tujue chanzo cha ilo Neno ndo tutapata maana yake hapa kila mtu atakujibu kulingana na concept yakeHii lugha ni yetu lazimatuijenge wenyewe
sawa mkuusasa media kama Azam hawana idara ya lugha ili kurekebisha hili, we fuatilia mechi za ligi kuu bongo, utaona KANDANDA MBASHARA
Kama hapa unaunga maneno mawili kua neno moja hivi hiyo Lugha itajengwaje sasa??Hii lugha ni yetu lazimatuijenge wenyewe