Usahihi upowapi hapa

Usahihi upowapi hapa

Megawatt B

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
259
Reaction score
69
katika lugha ya Kiingereza, kuna neno lnaandikwa na kutamkwa 'FOOD SECURITY'. katika baadhi ya magazetii, kwa kiswahili neno hili linatafsiriwa kama USALAMA wa CHAKULA

Je, ni kweli tuna maanisha USALAMA WA CHAKULA au UHAKIKA WA CHAKULA?
 
Yote mawaili sawa.
Mkuu
kama maada ilitaka kusema juu ya kuhifadhi chakula kiswahili chake ni USALAMA wa chakula. Kama maada hiyo ilikuwa inaongelewa uwepo wa chakula basi tafasiri yake ni hiyo ya UHAKIKA wa Chakula!!
Je maada ilijikita kwenye nini?
sp
 
Back
Top Bottom