Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 594
- 1,061
Parable 02|15-16/24|
Katika mazingira yakudadisi au kulichambua jambo fulani( ni kama tulikua tuna fuatilia kanuni/taratibu/sheria/sera flani flani) . Sehemu ile tulikua watu zaidi ya wawili, tulilichambua lile swala uchambuzi ukaonyesha tuko sahihi na hasa mkuu Wa idara alioneshwa kuamini zaida ule uchambuzi na yeye ndio akatuhakikishia kua ni sawa kabisa.
Lakini baadae nyakati za mwisho kabisa ikaonyesha kua tulikua tumekosea na haikua kama tulivyoamini, maana mkuu wetu alivyotusisitizia tukakubaliana nae.
Katika ile hali
tuliamini kwa mpango/ sheria/ kanuni zile tulizozichambua basi tuko imara kumbe sio! , na mwishoni kabisa tukawa dhaifu tumebakia kuhamaki!
Baada ya kulitambua hilo tulidhoofu na kuonekana kama watu tuliovunjika moyo, mkuu wetu alionekana kukosa kabisa kauli.
Kwakweri tulishangazwa ilikua ni suplaizi.