usahihi wa tumizi la msamiati huu

usahihi wa tumizi la msamiati huu

Mbute na chai

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
564
Reaction score
593
Je, ni sawa kisarufi kutumia neno SALIA kwa binadamu? Mf, majeruhi sita waruhusiwa kutoka huku wengine watatu waki-SALIA katika hospitali ya Aruma
 
Back
Top Bottom