Mbute na chai JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 564 Reaction score 593 Jul 22, 2013 #1 Je, ni sawa kisarufi kutumia neno SALIA kwa binadamu? Mf, majeruhi sita waruhusiwa kutoka huku wengine watatu waki-SALIA katika hospitali ya Aruma
Je, ni sawa kisarufi kutumia neno SALIA kwa binadamu? Mf, majeruhi sita waruhusiwa kutoka huku wengine watatu waki-SALIA katika hospitali ya Aruma