Ndugu wanajamii.
Kwa wale wote ambao ni mahakimu naomba wanisaidie yafuatayo: moja usahili hufanyika Mara moja tu au Mara mbili? Yaani huwa kuna kuwa na oral interview and written?
Pili huwa wanapendelea kuuliza maswali gani?
Na la mwisho kwa wale walioajiriwa kama mahakimu wa kazi primary court je wanafanya kazi kwa mujibu wa MCA au 3 schedule of MCA? Primary court rules.