USAID iliasisiwa 1961 wakati Tanganyika inapata Uhuru wake Lengo likiwa kuongeza Marafiki wa Marekani, inapokufa inatukumbusha Tanganyika Huru!

USAID iliasisiwa 1961 wakati Tanganyika inapata Uhuru wake Lengo likiwa kuongeza Marafiki wa Marekani, inapokufa inatukumbusha Tanganyika Huru!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tunakumbushana historia tu kwa sababu Waziri Hamza wa SMZ alisema Watanganyika ni Wavivu wa kujisomea historia

Umri wa USAID Ndio Umri wa Tanganyika Sasa Tanzania

Ahsanteni sana 😄
 
Swali langu ni je hii USAID iliundwa kwa ajili ya Tz pekee au kuna nchi nyingine hatuwasikii kulia!
 
Back
Top Bottom