J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 8, 2025 #1 Tunakumbushana historia tu kwa sababu Waziri Hamza wa SMZ alisema Watanganyika ni Wavivu wa kujisomea historia Umri wa USAID Ndio Umri wa Tanganyika Sasa Tanzania Ahsanteni sana π
Tunakumbushana historia tu kwa sababu Waziri Hamza wa SMZ alisema Watanganyika ni Wavivu wa kujisomea historia Umri wa USAID Ndio Umri wa Tanganyika Sasa Tanzania Ahsanteni sana π
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Feb 9, 2025 #2 Swali langu ni je hii USAID iliundwa kwa ajili ya Tz pekee au kuna nchi nyingine hatuwasikii kulia!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 9, 2025 #3 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw