I issadeus269 Member Joined Dec 2, 2018 Posts 24 Reaction score 4 Dec 3, 2018 #1 Habar za mdahuu wakubwa,,, nnaomba kuereweshwa vizuri utaratibu wa kurudia mtihan wa kidato Cha nne ni lazma kurudia masomo yote!?? au unaweza rudia hata somo moja!???
Habar za mdahuu wakubwa,,, nnaomba kuereweshwa vizuri utaratibu wa kurudia mtihan wa kidato Cha nne ni lazma kurudia masomo yote!?? au unaweza rudia hata somo moja!???
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,514 Dec 5, 2018 #2 Wewe ndio umemaliza kidato cha nne? Maana unavyoandika hadi raha, OK tafuta Center maeneo yako watakupa majibu ya Maswali yako.
Wewe ndio umemaliza kidato cha nne? Maana unavyoandika hadi raha, OK tafuta Center maeneo yako watakupa majibu ya Maswali yako.
I issadeus269 Member Joined Dec 2, 2018 Posts 24 Reaction score 4 Dec 5, 2018 Thread starter #3 Okay Bacary Superior said: Wewe ndio umemaliza kidato cha nne? Maana unavyoandika hadi raha, OK tafuta Center maeneo yako watakupa majibu ya Maswali yako. Click to expand...
Okay Bacary Superior said: Wewe ndio umemaliza kidato cha nne? Maana unavyoandika hadi raha, OK tafuta Center maeneo yako watakupa majibu ya Maswali yako. Click to expand...