Gef
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 500
- 433
Hellow guys, nimeona files kwa ajili ya wanaohitaji nafasi za Usimamizi wa Uchaguzi katika vituo vya kupigia kura nimeona za majimbo mbali mbali tz na dar pia nimeona za ilala,segerea,kigamboni,ukonga etc ila za kinondoni na ubungo sijaona ..please kama kuna mtu anaweza iweka huku please naomba fanya ivyo watoto wapate nafasi tafadhali nashangaa sijui kwnn izo au wamezifica nn
NB:Izi filesNying zimetoka katika format ya pdf
Thanks I Luv Oll🙏🙏
NB:Izi filesNying zimetoka katika format ya pdf
Thanks I Luv Oll🙏🙏