Usaidizi wa kupata till za uwakala (M-Pesa)

Usaidizi wa kupata till za uwakala (M-Pesa)

Ackhery

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2021
Posts
293
Reaction score
299
Habari wapendwa, Poleni na majukumu

Kuna mwenzangu alifanya maombi ya uwakala wa M-pesa, na hatua zote alishazifanya ikawa katika harakati za kupatiwa till number yule alokuwa anahusika kuunganisha swala Hilo akafariki(wakala mkuu wa eneo Hilo) na meneger hapatikani Kwa simu. je kunaweza kuwa na njia mbadala wa kupata till hizo? Na Kama zipo naomba msaada.

Asante
Msaada wanu tafadhari
 
Habari wapendwa
Poleni na majukumu
Kuna mwenzangu alifanya maombi ya uwakala wa M-pesa, na hatua zote alishazifanya ikawa katika harakati za kupatiwa till number yule alokuwa anahusika kuunganisha swala Hilo akafariki(wakala mkuu wa eneo Hilo) na meneger hapatikani Kwa simu. je kunaweza kuwa na njia mbadala wa kupata till hizo? Na Kama zipo naomba msaada
Asante
Msaada wanu tafadhari
Hizo zitakuwa zimeshauzwa
 
Peleka hizo Docs kwenye ofisi za Voda kitengo cha mpesa watakusaidia maana wanawafahamu hao wakala wakuu wote

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom