Usaili Auditor grade II

Usaili Auditor grade II

Akili 2

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2018
Posts
1,221
Reaction score
1,849
Habari zenu?

Utumishi walitangaza nafasi za kazi za auditor grade II, naona wameita watu kwenye usaili mwenye majina please nayaomba maana nimejaribu kuyatafuta siyaoni.

Note:
Kwenye account yangu inaonyesha nimeitwa kwa kwenye usaili na number ya usaili ipo ila ishu ni kwamba majina ndiyo siyaoni

Msaada plz
 
Mkuu huo usaili ulishapita, na majinä yake yalichanganywa na majina ya usaili wa NAOT.
 
Back
Top Bottom