Habari zenu?
Utumishi walitangaza nafasi za kazi za auditor grade II, naona wameita watu kwenye usaili mwenye majina please nayaomba maana nimejaribu kuyatafuta siyaoni.
Note:
Kwenye account yangu inaonyesha nimeitwa kwa kwenye usaili na number ya usaili ipo ila ishu ni kwamba majina ndiyo siyaoni
Msaada plz