Usaili Benki Kuu ya Tanzania (BoT) 2021 umeshafanyika?

wengine tulisha sahau kama tuliwahi kutuma maombi uko mwaka huu
 
kijana ume graduate majuzi nn ?
fanya kama usha zisahau hizo post endelea kuapply zinginezo unazo kutana nazo mbona wengine tulisha acha hata kuzifikiria hizo nafas za Bot
 
Hivi BOT washaanza kuita watu kufanya usaili? Mwenye taarifa naomba anijulishe kuhusu usaili wa mwaka huu 2021.

Bado mkuu,vuta subira ni mchakato mrefu sana wa kutafuta cream.Kama ulikuwa na perfomance nzuri kuwa mpole utaitwa tu ulingone ukapambane.
Namaanisha
 
Bado mkuu,vuta subira ni mchakato mrefu sana wa kutafuta cream.Kama ulikuwa na perfomance nzuri kuwa mpole utaitwa tu ulingone ukapambane.
Namaanisha
Thank you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…