Usaili Environmental officer

Usaili Environmental officer

Lizlina

Member
Joined
Jun 25, 2021
Posts
43
Reaction score
39
Habari wana JF,

Niliomba kazi ya environmental officer, na sasa naona mikeka ya utumishi imeanza kutoka, naamini na sisi soon wanatutolea, mwenye possible zozote za wapi nipigie au hata ambaye amewahi kushiriki usaili wa design hiyo msaada tafadhali.

Asante
 
Back
Top Bottom