usaili kada ya elimu somo LA mathematics umenishangaza

usaili kada ya elimu somo LA mathematics umenishangaza

mleta mada alishazoea zile saili za private na maswali yao yale common,
What is your strength and weakness.....tell us about your self.

Utumishi unakutana na maswali ya darasani mix o level, advance na college. Una miaka 8 nyumbani toka u graduate....kwa nini usichanganyikiwe 🤣
 
kilichotikea leo ni moja ya usaili katili sana kuwahi kushuhudia nimefanya interview shule nyingi za private lakini kwa huu nmenyoosha mikono.

kwa walimu ambao bado hamjasailiwa mjipange kule sio kuzuri kabsa .

Kwa uandishi hu!!!!!!

Si unataka tuseme tu.....

Umewasaidaje hao wengine kama wewe umefeli hata uandishi na kupitisha habari kwao..

Ualimu ni wako kweli.. Tafakari
 
Wengi wakitoka kwa interview hawasemagi kuna nini huko wana kale karoho kabaya hawaezi waaambia wenzao hata
Ingekuwa vema kama angesema tu! Angepata ushauri

Kama Kuna figisu Pengine zimetokea, itakuwa ametoa msaada wa kufanya watu waweze kukemea kimya

Ila kulalamika pasipo kusema yote into a details si sawa!
 
Back
Top Bottom