inasemekana kuna order kutoka JUU kwamba waalimu wapigwe chini, jana mkuu wa wilaya temeke ambaye ndio afisa sensa mkuu wa wilaya aliwaambia watendaji wa kata zote (waliokuwa wameitwa manispaa ili kupewa list za watu waliopata kazi ya sensa) kwamba warudi tena kwenye kata zao waandae alternative list ambayo haijainclude waalimu na waiweke na waipeleke leo manispaa, so far ndio kamvutano kanaendelea cha chinichini baina ya CWT na serikali kuhusu hyohhyo sensa yan design kama serikali inataka kuwablackmail walimu waliogoma kwa issue ya sensa.
Disclaimer: hii nimeipata kwa huku temeke tu cjajua halmashauri zingine imekaaje.