Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,681
Kama miezi miwili au mitatu Kilimanjaro International Airport walitoa nafasi za kazi katika nafasi tofauti tofauti...mwisho wa kutuma maombi ilikuwa September(?)..mpaka leo hawajaita?au mwenye kujua kinachoendelea atujuze!