Usaili nafasi za kazi KIA bado?

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
1,710
Reaction score
3,681
Kama miezi miwili au mitatu Kilimanjaro International Airport walitoa nafasi za kazi katika nafasi tofauti tofauti...mwisho wa kutuma maombi ilikuwa September(?)..mpaka leo hawajaita?au mwenye kujua kinachoendelea atujuze!
 
Mkuu mie mmojawapo niliomba sijapata hata taarifa zozote kuhusu interview japo nasikia wana mizengwe sana pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…