Wakujibwea45
Member
- Oct 8, 2021
- 62
- 52
Habari humu ndani.
Naomba kujuzwa kwa wenye uzoefu na wanaojua maswali yanayoulizwa kwenye interview za AJIRA MSF.
Shirika hili kwa pale Liwale linajishughulisha na mradi wa Afya ya Mama na Mtoto, sasa pia ningependa kuuliza Je maswali yao katika usaili wao yatahusisha tu Afya ya mama na mtoto au watauliza pia nje ya kitu ambacho wao wana deal nacho yan Afya ya mama na mtoto?
Nawasilisha wakuu, naombeni msaada, nina wiki moja kwenda kwenye usaili.