Bahati mbaya sikuliwa kichwa.Nilienda hadi Oral Saili hizo hizo za Vyuoni.Unaongea vitu usivyofihamu kakaKwa hiyo eneo la kufanyia usaili ndo linaufanya usaili kuwa fair, wee jamaa utakuwa umeliwa kichwa kwenye usaili ndo maana unakuja na hoja isiyo na mashiko kama hii. Wewe kama upo competent mbona utafaulu tu usaili popote pale utakapofanyika. Maana nimeona hata kwa usaili uliofanyika vyuoni kuna watu wengine kutoka nje ya vyuo husika nao walishiriki kwenye zoezi la usaili kama panelists hivyo hoja yako ya upendeleo inakosa mashiko.
ππππMtu atoke Kigoma kufuafa usahili Dodoma? Pumbavu kbs ww
πππ,,, Wanasema Duniani hamna haki, haki ipo akhera,,,All is rubbish! Huwezi kusaili watu zaidi 200 a day, written,ukasahihisha then kama una akili ukasema usaili unafanyika kwa haki!
We mazaga one nipo info za Usaili wa Leo hapo Dom maana mwenyewe sijaja nimekosa nauli sinauza Kambare wangu.. niko zangu Huku Rufiji natafuna Kambare.Habari Wana Bodi !Mimi nikiwa mmoja ya Vijana mtafuta Ajira na Ajira. Mnaweza kuwa mashahidi wa Ajira za Utumishi zikifanyikia Dodoma zinakuwa Fair sana kuliko Zikifanyikia kwenye Taasisi Husika. Mfano Ajira za Vyuo vingi,zimefanyikia kwenye Taasisi Husika. Watu wengi nimesikia wakilalamika ya kuwa Kuna upendeleo kwa waliosoma kwenye vyuo husika.
Mimi binafsi nashauri Usaili Uendelee kufanyika DODOMA, kwani sio kwa Ubaya. Dodoma ni rahisi kwa kila mtu kufika na gharama pia sio Kubwa,msailiwa yeyote anaweza kulala hata chuo kikuu Cha DODOMA pale Bure,lakini pia mazingira ya Usaili yanakuwa ni fair kwa kila msailiwa.Yale mambo ya kusema Kikanda, sijui usaili ufanyike kwenye Taasisi Husika iliyoajiri kama saili za Vyuo zilivyofanyika,binafsi naona hayana Afya kabisa Kiufupi nimefuatilia hata mahudhurio ya saili zilizofanyika kwenye Taasisi Husika mahudhurio ya wasailiwa yamekuwa Hafifu sana. Mfano Usaili wa SUA,Mzumbe,OUT na kwingineko wasailiwa wengi hawakufika kwenye saili na hii ni ishara tosha ya wengi wao kukata tamaa kutokana na Usaili kufanyika kwenye Taasisi Husika kuliko Kufanyikia DODOMA.
Mimi napendekeza DODOMA saili za Ajira ziendelee kufanyika kutokana na sababu nyingi nzuri na ambazo zinaweka mazingira ya usawa kwa wasailiwa wote.
Lakini pia ule utaratibu wa Utumishi kufanya usaili siku za weekend,labda Jumamosi na Jumapili,ikienda sana basi ni Jumatatu,ungeendelea,kuliko Sasa wanavyofanya siku za kazi.
Nawasilisha.
Ni mazaga One,
Kwa Sasa Dodoma,
Wale mnaokuja DODOMA kwenye usaili Tukutane.Nami Utumishi wameniita usaili DODOMA
Kwa hiyo ulipendelewa? maana unasema wanaofaulu ni wale waliopewa upendeleo...Bahati mbaya sikuliwa kichwa.Nilienda hadi Oral Saili hizo hizo za Vyuoni.Unaongea vitu usivyofihamu kaka
Unaweza kuwa zaidi yakeUna akili za ovyo Sana. Wee kama ni mgogo kakae na ugogo wako huko Mpwapwa.
Dah pole sanaWe mazaga one nipo info za Usaili wa Leo hapo Dom maana mwenyewe sijaja nimekosa nauli sinauza Kambare wangu.. niko zangu Huku Rufiji natafuna Kambare.
Utumishi watupeleke DODOMA tu,na Yale mambo ya mitihani weekend yaendelee tu.Kwa hiyo ulipendelewa? maana unasema wanaofaulu ni wale waliopewa upendeleo...
Kumbe mnaokaa dodoma ndo mnaopinga. Mnavuta kamba upande wenuHabari wana bodi!
Mimi nikiwa mmoja ya vijana mtafuta ajira, mnaweza kuwa mashahidi wa ajira za utumishi zikifanyikia Dodoma zinakuwa fair sana kuliko zikifanyikia kwenye taasisi husika. Mfano ajira za vyuo vingi, zimefanyikia kwenye taasisi husika. Watu wengi nimesikia wakilalamika ya kuwa kuna upendeleo kwa waliosoma kwenye vyuo husika.
Mimi binafsi nashauri usaili Uendelee kufanyika Dodoma, kwani sio kwa ubaya. Dodoma ni rahisi kwa kila mtu kufika na gharama pia sio kubwa. Msailiwa yeyote anaweza kulala hata Chuo Kikuu cha DODOMA pale bure.
Lakini pia mazingira ya usaili yanakuwa ni fair kwa kila msailiwa. Yale mambo ya kusema kikanda, sijui usaili ufanyike kwenye taasisi husika iliyoajiri kama saili za vyuo zilivyofanyika, binafsi naona hayana afya kabisa.
Kiufupi nimefuatilia hata mahudhurio ya saili zilizofanyika kwenye taasisi husika mahudhurio ya wasailiwa yamekuwa hafifu sana. Mfano usaili wa SUA, Mzumbe, OUT na kwingineko wasailiwa wengi hawakufika kwenye saili na hii ni ishara tosha ya wengi wao kukata tamaa kutokana na usaili kufanyika kwenye taasisi husika kuliko Kufanyikia Dodoma.
Mimi napendekeza Dodoma saili za ajira ziendelee kufanyika kutokana na sababu nyingi nzuri na ambazo zinaweka mazingira ya usawa kwa wasailiwa wote.
Lakini pia ule utaratibu wa Utumishi kufanya usaili siku za weekend, labda Jumamosi na Jumapili, ikienda sana basi ni Jumatatu, ungeendelea kuliko sasa wanavyofanya siku za kazi.
Nawasilisha,
Ni mazaga One,
Kwa Sasa Dodoma,
Wale mnaokuja Dodoma kwenye usaili tukutane, nami Utumishi wameniita usaili Dodoma.
Mkuu hata Mm ni mmoja wa job seekers tunao teseka na usahili pindi unapo fanyikia hapo dodoma kwakweli ni changamoto kwetu kuanzia nauli, malazi mpaka maandalizi yenyewe ukiwa dodoma, kumwambia mtu eti akalale udom kwamba ndio unafuu wa huko bado haupo sahihi kwakweli, serikali imetusaidia sana kuandaa huu mfumo wa kikanda kwa sasa.Mimi sio Mgogo,nasema kwa ajili ya Vijana wenzangu....