Usaili wa Bagamoyo University

fikirini

Senior Member
Joined
May 24, 2011
Posts
114
Reaction score
22
Wenye taarifa wadau kama huku kuitwa kwa mafungu kumekamilika. Napenda kujua kwa walioomba nafasi college za education na government and leadreship kama wameitwa nao. nawasilisha
 
Kaka ni ngumu kujua ila mara ya mwisho nilickia bado walikuwa wanaita college ya science hizo zingine labda wadau wa2juze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…