Usaili wa magereza unakuaje?

Usaili wa magereza unakuaje?

Thiago_

New Member
Joined
Jun 23, 2023
Posts
2
Reaction score
0
Msaada Naomba kufahamu usaili wa magereza kwa wenye fani mbalimbali Unakuwaje
 
Usiajali utaelewa mbele kwa mbele. Sema jiandae kuvua nguo,puma afya,Kama Ni mwanaume utageuza shingo kushoto ama right side utakohoa wakuone Kama jogoo anawika,Kuna mwanamke mzuri na mrembo na cheupe atakuchungulia huko unakotolea shiit Kama pako sealed aka marinda yapo,nadhani hawana mbwembwe. Utapelekwa kwenye chuo Chao huko kusini kuelekezwa mafunzo zaidi kuhusiana na taaluma yako
 
Asante sana
 
Asante sana
Usaili kuna written exam maswali ni taaluma husika ulosoma, kuna vipimo kama uzitoy, urefu, pressure, na kuvua nguo kuchek tattoo etc, afu kuna oral exam huko wanakagua vyeti na utaulizwa swali moja la taaluma au background yako ujibu basii
 
Back
Top Bottom