Usaili wa TANAPA kada ya udereva

Usaili wa TANAPA kada ya udereva

Joined
Apr 29, 2017
Posts
22
Reaction score
11
Wakuu habari za Asubuhi.

TANAPA wametoa majina ya interview na tarehe husika mdogo wangu ameoangiwa kuifanya hifadhi ya mto wa mbu karatu Arusha kwa post ya udereva please mwenye ujuzi wowote wa namna interview hizo zinakuwa naomba aseme hapa kupata Ushauri.

0742896907
 
Mwnyew nmechaguliwa usaili msaidizi sioni direction hpa mwnye kujua ama alochaguliwa aje kutupa mbinu asee
Halaf wanachonishangaza wanasema usaili wa 1 unafanyika online then watatujulisha kituo cha usaili so natakiwa nifanye online lkn kwenye kituo husika au maana sielew
 
kama hautojali nicheki hapo kwa hiyo namba tuyajenge nmepata baadhi ya watu huko.
 
Back
Top Bottom