Forward Ferdinand Gabo
Member
- Apr 29, 2017
- 22
- 11
kama hautojali nicheki hapo kwa hiyo namba tuyajenge nmepata baadhi ya watu huko.Mwnyew nmechaguliwa usaili msaidizi sioni direction hpa mwnye kujua ama alochaguliwa aje kutupa mbinu asee
Halaf wanachonishangaza wanasema usaili wa 1 unafanyika online then watatujulisha kituo cha usaili so natakiwa nifanye online lkn kwenye kituo husika au maana sielew
Kwenye oral wanauliza maswali kama ya utumishi? Au ni yale yale ya Private sectorkuna maswali ya kuchagua jiandae tu.
Sifahamu kitu hata kama unajua lolote share nasiNadhani kama hutojali kwa manufaa ya wote, ungeandika tu humu taarifa uliyopata Mkuu.