Namkumbuka prof Assadi na utunzi wake wa test/mitihani pale UDSM, darasa moja lakini test zipo nakala 5 - 10 tofautiii.
Ukidesa majibu ya A/B/C unaangukia pua ...ila wajanja nao walikuwepo na walikuwa wanafanikiwa
😄😄😄 Nae akaulizwa mpk Sasa hivi yeye ana ekari ngapi?JF kuna vituko. Kuna mdau alimshauri yule mleta mada iyo laki 2 ya nauli angekodi shamba heka na kulima maharage
Yaani mpk marking scheme imevujishwa mitandaoni mzee baba.😄😄Watoto wa wanyonge washapigwa,watatumiwa sms watoto wa vigogo kuripoti kazin😂imeisha hiyooo
Iweke hapa piaYaani mpk marking scheme imevujishwa mitandaoni mzee baba.[emoji1][emoji1]
Cheki huo Uzi hapo chini comment ya 315, wameiweka mkuu.Iweke hapa pia
Hao waliokua wanampinga huyo mdau Ni wale waliokua wamepata hio pepa walikua wanaona kitumbua Chao kitaingia mchanga.Kuna mtu alileta mada ya kuvuja kwa mtihani wa usaili, lakini baadhi ya watu walimuona kama mzushi na mwenye majungu
Ni usaili wote umehairishwa, sio Tax Officers peke yakeJuzi kuna mdau aliandika kuwa mitihani ya usaili wa Tax Officers wa TRA umevuja na walikuwa wanasove pepa wakiwa kwenye magari kuelekea Dodoma kwenye usaili. Sasa sekretariet imesema usaili umeahirishwa bila hata kutoa sababu zinazoeleweka.
Kuna kaharufu ka uozo hapa.
Pia, Soma=> Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja