Usaili wa TRA Ulikuwa wa Haki

Kwahiyo licha ya kutumia CHATGPT lakini umekosa😅😅😅... Enewei wacha tuendelee kula ubwabwa sie.
 
VAT refund of 2,016,000 TZS
kuna pepar na wadau tumesolve swali kam hili similar yan
 
uyo analeta utani hajui ilo swali ni mtego na bila income tax act hatoboi ,sijui kama anajua ata supplies exmpted from VAT
 
We Chatgpt inakudanganya...kasome sheria ya VAT kwanza ndo urudi kuangalia upuuzi uliondika
 
Umenikumbusha mbali Sanaa Sanaa nimeshituka kabisa.. degree yangu ya finance nimeanza kusahau mambo mengi kwa Kasi Sanaa 😊.

Mambo ya
international finance
Bussines finance
Portfolio & investment
E.t.c
Na wasiwasi kabisa inaweza nikabaki na vyeti Ila nikasahau kila kitu maana nimedeal na mambo ya afya muda Sasa ☺️
 
Vipi kuhusu corporate finance? Na Treasury management 😎......
 
***** paper rahisi hivi hata watoto wa form six wanafanya ambao wamesoma ECA
 
***** paper rahisi hivi hata watoto wa form six wanafanya ambao wamesoma ECA
True..
Nina dogo ana msingi mzuri wa cormarce na booking in both level 0_level & A_level.

Nahakika anatoboa maana ana bachelor of commerce ya udsm.
 
We Chatgpt inakudanganya...kasome sheria ya VAT kwanza ndo urudi kuangalia upuuzi uliondika
Kujibu vizuri hoja kama hizi unamjibu kibobezi kabisa na kusight vifungu vya sheria na namna sahihi ya kucalculate kama unajua kweli - kuita hoja ya mwenzako upuuzi na huku hujaweka hoja/majibu kinzani haijakaa vizuri...anyways keyboard ni yako lakini siwezi kukupangia
 
Yani siri kuu ya kufaulu Written Interview za TRA kuajiri wenyewe katika Position ya TMO, ni kujipika na Public Finance & Taxation (B4), Advanced Taxation (C4), pamoja na kusoma Tax Acts kama VAT Act, Income Tax Act, na Tax Administration Act. Baada ya hapo ingia kwenye pepa Yao. Tena hasa hii B4 & hizo Acts. Watakaofanya written interview miaka ijayo wazingatie hili.
 
Inategemea na nafasi gani umeomba maana mtu aliyeitwa Risk au Economics akifanya hivyo mbona anatoka na yai safi kabisa
 
Kwenye pepa ya leo nasikia kada ya uchumi imejaa maswali ya Research kwa hiyo kama ulikomaa na mambo ya economics tu na huna idea na topics za research ushapunguzwa tyr maana maswali ya research hutatoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…