Usaili Wa Watendaji Chamwino

Usaili Wa Watendaji Chamwino

Hivi hizi saili za hao watu wa vijiji Huwa mitihani yake inafanyika kwa mda gani..? Inaonesha wamefaulufaulu sana sema nafasi ni chache ndo maana Kuna watu wameachwa
 
Hivi hawa maslahi yao yakoje wakuu na posho zipo ??
Ni ajira ya kudumu ??
Unaweza Panda ngazi na kuwa afisa mtendaji kata (WEO) ??
 
Hivi hawa maslahi yao yakoje wakuu na posho zipo ??
Ni ajira ya kudumu ??
Unaweza Panda ngazi na kuwa afisa mtendaji kata (WEO) ??
Hizi nafasi kama huna mchongo unaweza kufanya saili za nchi nzima na bado usipate hiyo kazi!
 
Back
Top Bottom