Huu ni uhusni haiwezekani nafasi zingine uite mtu mmoja kwenye interview..hii inamaana gani? tena kwa nafasi ya Tutor ambayo ni graduate na wamejaa kibao mitaani,sasa kwanini msimuajili tu huyo directly.ni kinyume cha sheria za utumishi kufanyai interview mtu mmoja.