Usain Bolt haamini macho yake baada ya kushindwa

I just took your teachers shoes and filled them. Can't you see?

Hiyo sentensi sipo pahala pake hapo.

Fill your boots. Google it if you don't know what it means. Don't embarrass yourself.

Your life i think is extremely sad, miserable, pathetic and boring. This is why you come here for cheap shots, try to score stupid points and get cheap laughs. Trying to be divisive. Cheap, cheap, cheap. Your are just a very cheap person.

I advice to grow up, try to become a lady.

I have noticed you have already been banned twice because of your silliness, your stupidity, lack of respect and common decency to others.

If you continue with your stupidity it won't be long before you are banned for good. Nobody is bothered by what 5 years does or say, unless he is crazy.

You have 5 years old brain in your very old body. You are such a pest.
 
Una ugomvi na bibi kifimbo cheza [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una ugomvi na bibi kifimbo cheza [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app

Bibi wetu wengi ni wazuri sana. Wanapenda sana kuwasaidia watoto wao na wajukuu wao kutumia lugha nzuri. Lakini huyu Bibi ana matatizo mengi kwenye ubongo wake. Yeye anafikiria ana hekima kubwa kuliko mtu yoyote duniani na anajua lugha zote, kumbe yeye ni mtu mjinga sana kwa sababu hana ubinadamu. May be she has lost her mind and need to be in asylum.

Hata kama hana point yoyote na anasoma sentensi nzuri tu anaamua kupiga kelele: - Kuandika kwa Bold Letters and different colours, it is bad manner on the internet and is means you are shouting in English. Make you point if is good people will understand it, no need to shout. Halafu amekuwa anatumia IDs zake nyingi kunifuata sehemu nyingi. Lakini mimi sijawahi kumfuata yeye hata mara moja tu.

Halafu kama unajua kitu mara nyingi ujitambi.

Bill Gates hapigi kelele kusema yeye ni tajiri, Malkia wa Uingereza hasemi yeye Mzuri sana Kwenye Kiingereza, Mark Zuckerberg ajidai. Ni watu ambao hawana uwezo ndio wanaopiga kelele.

Kama mtu yoyote akiuliza swali, au akisema kitu chochote yeye anataka kukosoa kwanza kwa kusema wewe ni mjinga, kwamba lugha yako ni mbaya badala ya kujibu swali lililoulizwa au kuchangia kwenye mada. It is not funny.

Inabidi ujue kama hapa kuna watu wadogo, wazee, ambao hawana elimu kabisa, ambao wakiandika wako kwenye stress kubwa, walimaliza darasa la saba, form, ambao hawakusoma kabisa. Kwa hiyo watu kama sisi hatutakiwi kuchangia au kuuliza swali lolote hapa. Hii ni jamii ya wasomi tuu? Ambao wanazungumza kiswahili and English perfect? By the way nobody does that.

Halafu ajui kukosoa kutumia lugha nzuri. Kama hakuna kosa lolote anatumia bold letters and different colours to make it looks like she is right. Naomba Mungu amsaidie ajifunze kuheshimu watu wengine kama watu wengine wanavyomheshimu yeye.
 
Uchochezi.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiiii akili kubwa sanaaaaaa[emoji123][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Zezeta hawez kuelewa
 
Tiririka Mwanewane (Asprin)..

Funguka Mwanaa...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa una maneno makali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukijuwi=Hukijui
 
Ulivyomalizia uliua sana mzee baba...hii post ni ya 2017.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…