Usain bolt kashindikana..ang’aa tena huko Shang'ai

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,283
Reaction score
541
Huyu jamaa naona keshashindikana....hizi mbio nilijua atachemka alianza vibaya sana lakini hapo kati kawakata wenzake kama walikua wamesimama. HATARI SANA.
 
Dah jamaa anachomoka utafikiri wenzake wanatembea.
 
Huyo mmarekani kachukia balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbio zote hizo halac ukute za kwenye bed hazipo[emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa ni utani
ni kweli jogoo hawiki changu mmoja alivujisha siri Brazil mwaka jana wakati wa Olympic
 
Hivi ndio mbio zake za mwisho. Katangaza kustaafu
 
Garama zilizoipeleka TAIFA STARS kambini misri ingetumika kumhudumia yule kijana aliyeshika namba tano mbio za marathon majuzi nadhani tungepata gold medal
 
ni kweli jogoo hawiki changu mmoja alivujisha siri Brazil mwaka jana wakati wa Olympic
Inawezekana sisi jogoo wanaowika ndo maana hatuwezi kukimbia. Ila jamaa kapata sifa zaidi, medali na anaingiza hela. Sisi tunapata ngoma na kumaliza hela.
 
Kwa kifupi Amebarikiwa Mbio, ni kama wengine wanavyo barikiwa Makalio makubwa. Ila yeye ametumia kipaji chake vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…