Usajili barani Ulaya: Season 2009-2010

Usajili barani Ulaya: Season 2009-2010

Belo

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2007
Posts
12,897
Reaction score
10,213
Msimu ndio umeisha na tumeshuhudia Barcelona,Manchester United,Porto,Inter,Bordeaux wamefanikiwa kuchukua ubingwa kwenye ligi zao na Barcelona wakafanikiwa kubeba Champions League.
Tayari baadhi ya timu zimeanza kujiandaa kwa msimu ujao tayari kuna timu zimenza kufanya mabadiliko ya makocha,hadi sasa timu zilizobalisha makocha ni

BAYERN MUNICH-LUIS VAN GAAL
AJAX-MARTIN JOL
CHELSEA-CARLO ANCELOTI
JUVENTUS -CIRO FERARAhuyu alikuwa wa muda
AC MILAN-LEONARDO
Bado kuna makocha hawana kibarua kama Marco Van Basten,Jurgen Klinsman,Sven Goran Erikson,Roberto Manchini
 
Florentino Perez baada ya kurudi Real Madrid kamteua Zinedine Zidane kama mshauri wake na kuna tetesi huenda akamchukua kocha wa Vilareal Manueli Pelegrini
 
Makocha
-Kuna fununu Sven Goran Eriksson anaweza kuchukuliwa na Portsmouth kama takeover ikipita.

-Steve Bruce ameruhusiwa na Wigan kufanya maongezi na Sunderland.

Ancelotti ameshaweka malengo ya Champions League, kwa maoni yangu hapo ndio makocha wengi wanaokwenda Chelsea wanakosea wanajali sana kumridhisha tajiri.

Kwa upande wa wachezaji,
-Zlatan amesema anaweza asirudi San Siro msimu ujao.

-Agent wa Tevez anasukuma deal na Manchester City(nadhani anataka kuwakasirisha Man United).

-John Terry amemshauri Ancelotti kuwanunua Ribery na Villa.
 
Manueli Pelegrini ndio kocha mpya wa Real Madrid
Juventus wamewasajili Fabio Canavaro(Real Madrid) na Diego (Werder Bremen)
 
...Kaka naye Real Madrid wametangaza kumsajili kwa dau la £65m, sijui Chelsea wataongeza ngapi hapo kuwa double-cross!

Claudio Ranieri naye kibarua kimeota majani Juventus, wanatafuta Italian replacement (manager)

Fernebahce nao hawataki longolongo, kibabu Luis Aragones katimuliwa baada ya timu hiyo ya waturuki kuambulia nafasi ya nne kwenye ligi ya huko.
 
Mie nasubiri nisikie chama langu la Arsenal lina mpango gani katika msimu ujao au utakuwa ni msimu mwingine uliojaa vipigo na majonzi kama huu uliokwisha hivi karibuni.
 
Ooopss!! Naona Man City wameshatupiga kimoja, wamemchukua Gareth Barry for 12M pounts, its a good steal and i hope Benitez atakuwa hoi

Kaka signs for real and Kaseja is heading back to Simba... Hehehee

YNWA
 
Last edited:
Ooopss!! Naona Man City wameshatupiga kimoja, wamemchukua Gareth Barry for 12M pounts, its a good steal and i hope Benitez atakuwa hoi

Kaka signs for real and Kaseja is heading back to Simba... Hehehee

YNWA
Poleni sana jamaa wamambeba kwa bei rahisi sana subirini bao la Tevez hawa waarabu hawana longolongo
 
Huko ITALIA msimu ulioisha umeshuhudia wakongwe wa soka Luis Figo,Pavel Nedved na Paolo Maldini wakistaafu kucheza soka
 
Most wanted players in transfer in Europe are
Christiano Ronaldo,Xabi Alonso,Carlos Tevez,Frank Ribery,Karim Benzema
 
Most wanted players in transfer in Europe are
Christiano Ronaldo,Xabi Alonso,Carlos Tevez,Frank Ribery,Karim Benzema

...na Adebayor, priced at £23m!
 
...na Adebayor, priced at £23m!

Mark Hughes anamtaka Tevez wakati huo huo Elano anasema maongezi ya kwenda Inter Milan yameanzaa.

Mwaka huu sidhani kama Liverpool watasajili mchezaji mkubwa wa kutisha.
 
Kocha Steve Bruce amehamia Sunderland akitokea Wigan
 
Frank Rijkaard ameteuliwa kuwa kocha mpya wa GALATASARAY ya Uturuki
 
kaka5.thumbnail.jpg
 
Tunasubiri kigugumizi cha Ronaldo, sijui atakwenda wapi mwaka huu!!!!!!!!!!!!!!
 
Most wanted players in transfer in Europe are
Christiano Ronaldo,Xabi Alonso,Carlos Tevez,Frank Ribery,Karim Benzema

Usimsahau Dzeko Edin wa Wolfsburg, Chelsea, Arsenal na AC Milan wanamtak. Pia Sergio Agüero wa Atlético Madrid- Chelsea, Madrid, Arsenal, Barcelona wanatafuta sahihi yake .....David Villa timu nyingi za UK na Spain wanataka mtoa Valencia....!
 
Back
Top Bottom