Usajili barani Ulaya: Season 2009-2010

Hawa Madrid sasa wanataka kuharibu sasa..

Valencia have turned down a reported offer from Chelsea for David Villa, with the Spain international seemingly set to join Real Madrid instead.

Je, Real Madrid wataweza kumnunua Ronaldo??????
Naamini swali hili linaumiza vichwa vya mabosi wa Madrid...

Lets wait to see the wondeful sokker funny of 2009.....
 
Je, Real Madrid wataweza kumnunua Ronaldo??????
Naamini swali hili linaumiza vichwa vya mabosi wa Madrid...

Lets wait to see the wondeful sokker funny of 2009.....

Kwa Offers kama hizi sidhani kama Ronaldo atagoma kwenda Madrid

Mambo ndio ishaanza kukolea sasa,
 
Last edited:
Chelsea mna gundu!

kwanza, Kaka ali wa snub, kaenda Real Madrid...

pili, David Villa naye wala hataki kuwasikia, anakwenda Real Madrid...

kama mnamtaka Sergio Aguero, Atletico Madrid wamem'value @ £55m 😀
 
Mpwa nadhani hadi msimu wa usajili kitaeleweka pale DARAJANI lazima tusajili walau two hot young strikers! Edin huenda akatua kwa zeblues
 
Mpwa nadhani hadi msimu wa usajili kitaeleweka pale DARAJANI lazima tusajili walau two hot young strikers! Edin huenda akatua kwa zeblues

...sawa bana. Mna matarajio gani msimu ujao (2009-2010), hebu weka vionjo japo kwa muhtahsari hadharani?

Mimi kwa utabiri wangu itakuwa;

Charity Shield Winner; Liverpool

Carling Cup Winner; Man United

EPL Champion Winner ; Liverpool

Champions League Winner; Arsenal

FA Cup winner; Arsenal
 
hapo tu kwenye utabiri wa kwanza ndugu yaangu umeshakosea if u thought hiyo mechi ni ya mshindi wa kwanza na wa pili wa ligi ur very wrong, huwa ni epl winner na fa cup winner ila sema huangukiaga mshindi wa kwanza na wa pili cz wakuta fa cup winner na epl winner ni timu hiyo hiyo

so msimu ujao utafunguliwa na man utd na chelsea ambapo kama kawa man utd watashinda
 
Hawa Waspaniola nao wanataka kutuharibia ligi nyingine sasa...
 
...aarrgghh,

ahsante kaka kwa sahihisho....makombe ya mbuzi hayo! Iwapo Ancelotti hatabadilisha kikosi, Man U lazima mtafungwa tu.

VIle vile natabiri Ancelotti atatimuliwa katikati ya ngwe ya pili ya EPL 😀
 
...Real Madrid wanamnyemelea Gael Clichy, wakishindwa watamfuata Patric Evra 🙂
 
Gaudence mwaikimba anaweza kwenda kagera sukari, rijkaard kajitia kitanzi kwa waturuki galatasaray! Felipe scolar tetesi kujitupia angola, waziri mahadhi na ima gabriel wako njiani moro united, pia kuna fans kadhaa wanatarajiwa kwenda madrid hivi karibuni, wenzao waliokuwa milan washawasili wakimfata kaka yao ricarao!
 
Hapo kwenye red, kichwa cha thread kina sema Usajili barani Ulaya.
 
Middlesbrough wanaweka bid kwa Gary Neville.

Inasemekana kuna informal talks kati ya Manchester United na Roma juu ya Mirko Vucinic.

Mourinho anamtaka Deco.

Naona watu wameanza pilika za usajili mapema sana baada ya Madrid kumnyakua Kaka, timu nyingi naona hazitaki tena mambo ya kusikilizia mpaka dakika za mwisho.
 
ndiyo nayo ni usajili bara ni ulaya! au kichwa hakina maneno hayo!
 
...kajamaa "kanajitongozesha" kwa Barcelona, kaaaaaaazi kweli kweli...

...kajamaa "kanajitongozesha" kwa Barcelona, kaaaaaaazi kweli kweli...

Haha, babu hii kali alafu timu yako wewe mdebwedo kwa Barca linapokuja swala la wao kuchukua wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…