Mercy Theino
New Member
- Oct 18, 2012
- 3
- 0
naombeni mnisaidie jinsi ya kupata password ya ku log in kwenye system ya CAS.Nimejiregister tayari nimekwama jinsi ya kuendelea coz kila ninapo sign in naambiwa nakosea password na wakati najisajili sikuona pa kucreate password.Kama kuna anayejua jinsi ya ku log in anisaidie.
Umejisajili kama Diploma Holder au F6? Kama ni diploma holder User name itakuwa email yako, na password utaikuta kwenye inbox ya email yako. Kama ni F6 utakuwa umespecify password wakati wa kujisajili.
RED: Ni sahihi mkuu. Nipe maujanja ya kuchagua vyuo na course kwa diploma holders. Maana kila nikibofya drop down za vyuo na course sioni kitu. Na nikijaribu kuandika jina la chuo naambiwa no matching - PLS HELP IF YOU CAN
Vyuo vinavyotakiwa kuonekana kwenye drop down menu ni vile vyenye kutoa mafunzo yanayoendana na kile ulichosoma dip. Sijajua wewe umesoma chuo gani na dip ya nn! Btw, ukikwama sana piga customer care ya NACTE wako vizuri sana watakusaidia bila maneno.