Usajili CHADEMA Digital wapatikana nchi nzima, vibanda vya kusajili vyasambazwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa mpya kwenda kwa Watanzania, ukitaka kadi ya kidigitali ya CHADEMA, ambacho ni miongoni mwa vyama vichache vya kisiasa vya kisasa zaidi barani Afrika kwa sasa, huna haja ya kulipa nauli hadi kwenye miji mikubwa ili kupata huduma hiyo.

Huduma imesambazwa kila mahali hadi vijijini , ambako unaweza kujisajili bila wasiwasi.

Ikumbukwe kwamba Mtaji wa kwanza wa Chama cha Siasa ni Wanachama.





 
Ikitokea nikachukiwa na sera za chama, ama sababu yeyote itayopelekea nikahama chama, je nitarudishiwa gharama zangu?
 
Safi sana. Ila mimi bado sijaviona. Niko kiti cha mbele kupata huduma hii. Hongera Chadema. Hongera makamanda. Mbele kwa mbele hadi kieleweke. Ninapayuka tena: KATIBA MPYA!!!!?
 
Ikitokea nikachukiwa na sera za chama, ama sababu yeyote itayopelekea nikahama chama, je nitarudishiwa gharama zangu?
Ninaweza kukurudishia hata kama bado hujahama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…