Usajili: Clatous Chama arejea Simba SC

Babu alieshindwa soka morocco chama clatous amerudi simba na atapewa jezi namba 17 hii ni aibu kwa soka la tanzania kurudisha wachezaji walioisha kiwango kama chama daaah simba ina vitu vya kuiga kwa yangaaaView attachment 2080712
Wakati Simba Inamuuza Chama Nyie Utopolo Mililamika Simba Inauza Chama Imeenda Kununua Banda Sasa Leo Chama Karudi Bado Mnalalamika Embu Kuweni Na Msimamo Bhana Na Mseme Mnataka Nini

UkimaindNatumaTena
 
Ukitaka kujua ukubwa wa chama waulize waandishi wa habari na wauza magazeti, kila anae andika habari za chama alipata interaction ya kubwa sana.
 
Huyo mpira wake mdogo ndio maana kachemsha benchi huko hadi wamemtema eti Simba wao wanamuona mali. Mpira wa Tanzania bado ni wa kiwango cha chini sana.
 
Ukitaka kujua ukubwa wa chama waulize waandishi wa habari na wauza magazeti, kila anae andika habari za chama alipata interaction ya kubwa sana.
Watanzania mbona washamba sana? Huyu huyu Chama aliyeenda tu kwenye hako katimu kadogo ka huko Morocco akashindwa kucheza ndio hapa eti auzishe magazeti. It's fantastic 😍
 
Watanzania mbona washamba sana? Huyu huyu Chama aliyeenda tu kwenye hako katimu kadogo ka huko Morocco akashindwa kucheza ndio hapa eti auzishe magazeti. It's fantastic [emoji7]
Kwa hiyo umeloa
 
Wakati Simba Inamuuza Chama Nyie Utopolo Mililamika Simba Inauza Chama Imeenda Kununua Banda Sasa Leo Chama Karudi Bado Mnalalamika Embu Kuweni Na Msimamo Bhana Na Mseme Mnataka Nini

UkimaindNatumaTena
Hao wameshaona Simba imeshakuwa ngumu hivyo roho inawauma hatari
 
Mashabiki wa utopolo wanakuwaga na utaahira. Raha yao ni kudanganywa tu
 
Mashabiki wa utopolo wanakuwaga na utaahira. Raha yao ni kudanganywa tu
Wanaacha kujifunza kwa mashabiki wa simba namna walivyoshinikiza chama kurudi,wao wamedanganywa issue ya Morison, wanapewa ahadi za uongo toka msimu uliopita kwamba watachukua ubingwa lakini hola!mwaka huu waliambiwa watachukua kila kikombe na watafika hatua ya makundi caf champion league lakini ndio kama mlivyosikia.
 
Watanzania mbona washamba sana? Huyu huyu Chama aliyeenda tu kwenye hako katimu kadogo ka huko Morocco akashindwa kucheza ndio hapa eti auzishe magazeti. It's fantastic [emoji7]
Namba hazidanganyi mzee kama huamini magazeti angalia uthibitisho mwingine wa Twitter,wakuambie leo na jana namna chama anavyotrend Tanzania
 
Namba hazidanganyi mzee kama huamini magazeti angalia uthibitisho mwingine wa Twitter,wakuambie leo na jana namna chama anavyotrend Tanzania View attachment 2082598
Huyo ndio hivyo tena keshaisha, atabaki kucheza mitandaoni tu. Amefeli hata kuchezea timu ndogo tu ambayo haina impact yoyote ktk soka la Afrika.
 
Huyo ndio hivyo tena keshaisha, atabaki kucheza mitandaoni tu. Amefeli hata kuchezea timu ndogo tu ambayo haina impact yoyote ktk soka la Afrika.
Kwa hiyo injinia aliyesema hakuna timu Tanzania ambayo haimuhitaji chama ni mwongo sio, chama atawatesa sana labda akifika miaka 35 ndio ataanza kushuka,kiufupi swala la ubingwa wa ndani hatuna wasiwasi nalo tena labda kimataifa.
 
Failure
 
Chukua rekodi za Makambo akicheza mechi ngapi na alifanya nn huko huyo Chama hata Namba kakosa mwenzake kisinda anapeta.
Hii chumvi imezidi hata sisi tunafuatilia mpira mzee,chama mwanzoni alikuwa anaumwa lakini mpaka anaondoka alianza kupata namba na alicheza dk 90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…