W wazunguwawili JF-Expert Member Joined May 29, 2019 Posts 3,984 Reaction score 4,132 Mar 7, 2022 #1 Najua timu karibu zote zilifanya usajili. Hasa hawa wanakariakoo walivimbishiana sana. Simba ilijidai na chama. Yanga nao walijidai na Nkane, Chiko na yule nyanda waliyedhurumu Manungu. Je nani hadi sasa amefaidika na maingizo hayo mapya?
Najua timu karibu zote zilifanya usajili. Hasa hawa wanakariakoo walivimbishiana sana. Simba ilijidai na chama. Yanga nao walijidai na Nkane, Chiko na yule nyanda waliyedhurumu Manungu. Je nani hadi sasa amefaidika na maingizo hayo mapya?
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 9,872 Reaction score 16,319 Mar 7, 2022 #2 Mwanasimba wewe Unataka tukubal kua chama mmeweza au? Anyway kongole kwa mbea city wamefanya cha maana sana
Mwanasimba wewe Unataka tukubal kua chama mmeweza au? Anyway kongole kwa mbea city wamefanya cha maana sana
mpiga vichwa JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 2,376 Reaction score 3,811 Mar 8, 2022 #3 Hivi hadi sasa chiko ushindi ameshafunga magoli mangapi na assist ngapi? Kwa wale wafuatiliaji wa chiko Majibu tafadhari .
Hivi hadi sasa chiko ushindi ameshafunga magoli mangapi na assist ngapi? Kwa wale wafuatiliaji wa chiko Majibu tafadhari .
W wazunguwawili JF-Expert Member Joined May 29, 2019 Posts 3,984 Reaction score 4,132 Mar 8, 2022 Thread starter #4 mpiga vichwa said: Hivi hadi sasa chiko ushindi ameshafunga magoli mangapi na assist ngapi? Kwa wale wafuatiliaji wa chiko Majibu tafadhari . Click to expand... Tena usajili wake tulingojeshwa kama vile messi ndo anawasili.
mpiga vichwa said: Hivi hadi sasa chiko ushindi ameshafunga magoli mangapi na assist ngapi? Kwa wale wafuatiliaji wa chiko Majibu tafadhari . Click to expand... Tena usajili wake tulingojeshwa kama vile messi ndo anawasili.
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Mar 9, 2022 #5 mpiga vichwa said: Hivi hadi sasa chiko ushindi ameshafunga magoli mangapi na assist ngapi? Kwa wale wafuatiliaji wa chiko Majibu tafadhari . Click to expand... Nisikia mmekua wa 1 duniani
mpiga vichwa said: Hivi hadi sasa chiko ushindi ameshafunga magoli mangapi na assist ngapi? Kwa wale wafuatiliaji wa chiko Majibu tafadhari . Click to expand... Nisikia mmekua wa 1 duniani
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,698 Mar 9, 2022 #6 chiko ushindi tulipigwaa mchana kweupeeeee