Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Messi nilijua ataenda Man City1. Lapulga
Ile miguu ya plastick mzee .Jack Wilshere kutemwa Bournemouth, kwasasa hana timu na umri wake ni miaka 28
Amepata timu mkuu.Jack Wilshere kutemwa Bournemouth, kwasasa hana timu na umri wake ni miaka 28
Timu gani mkuu?A
Amepata timu mkuu.
Pita kwenye FB Page ya jamaa wanaitwa BREACHER REPORT FOOTBALL ndo wameiweka pale.. ni ya uarabuniTimu gani mkuu?
Messi haijaigopa EPL lakini umewezaje kuiusisha Man City na Lionel Messi? Cos kuna Pep ambae wanafahamiana vyema pia wana pesa! Lakini Je! Man City wasingekuwa wamemsajili Jack unahisi wangekubali Messi wamkose? Pia hakukuwa na ata na tetesi kuwa uwenda Messi angetoka pale Barca ni la kushtukiza mno! Sheria ya mapato na matumiza imewanyima Citty Messi.Messi nilijua ataenda Man City
Ameogopa ligi ngumu
Au ameona waamerica huwa hawa shine sana EPL .
Haji manara kwenda yanga.Baada ya kufunguliwa dirisha la usajili timu mbalimbali zimefanya sajili ili kuimarisha vikosi vyao ...
Yes uko sahihi.Messi haijaigopa EPL lakini umewezaje kuiusisha Man City na Lionel Messi? Cos kuna Pep ambae wanafahamiana vyema pia wana pesa! Lakini Je! Man City wasingekuwa wamemsajili Jack unahisi wangekubali Messi wamkose? Pia hakukuwa na ata na tetesi kuwa uwenda Messi angetoka pale Barca ni la kushtukiza mno! Sheria ya mapato na matumiza imewanyima Citty Messi.
Walikua na uwezo wa kumuuza Sterling ili kuepuka adhabu ya financial fair play .Messi haijaigopa EPL lakini umewezaje kuiusisha Man City na Lionel Messi? Cos kuna Pep ambae wanafahamiana vyema pia wana pesa! Lakini Je! Man City wasingekuwa wamemsajili Jack unahisi wangekubali Messi wamkose? Pia hakukuwa na ata na tetesi kuwa uwenda Messi angetoka pale Barca ni la kushtukiza mno! Sheria ya mapato na matumiza imewanyima Citty Messi.
Wangesubiri mpaka leo wanatafuta sehemu ya kumuuza Sterling? Na Messi akiwa anawasubiri wao tu!Walikua na uwezo wa kumuuza Sterling ili kuepuka adhabu ya financial fair play .
Labda shinikizo KUTOKA kwa Neymar PSG wamsajili rafiki yake Messi kwa sababu ilikua ngumu pia Barcelona Kumrudisha Neymar .
Ajib kwenda YangaBaada ya kufunguliwa dirisha la usajili timu mbalimbali zimefanya sajili ili kuimarisha vikosi vyao .
Kuna baadhi ya team zimefaidika na kupata wachezaji baada ya janga la Corona kutokea .
Hizi hapa ni sajili ambazo mimi naona kama isingekua Corona zisingetokea sababu janga la Corona limeacha team nyingi zikiwa hoehae kifedha ,hivo zingine kuuza wachezaji bila kupenda.
1.Messi kwenda PSG
2.Christiano kwenda Man u
3.Sancho kwenda MAN U
4.Lukaku kwenda CHELSEA
Misquino
5.Grealish kwenda Man City
6.Ramos kwenda PSG
7.Miquisone kwenda Al Ahly.
Tumsubirie Mbappe kwenda Madrid pia.
Manara kwenda Yanga pia ni usajili .