Usajili kufanya mtihani wa ufamasia

Usajili kufanya mtihani wa ufamasia

TZCHINA

Senior Member
Joined
Dec 6, 2019
Posts
126
Reaction score
153
Habarini wapendwa wote, ni matumaini yangu wote ni wazima na mnaendelea poa.

Naomba mwenye kujua namna ya kuverify malipo, baada ya kulipia malipo jinsi ya kuverify na kusubmit maombi.

Ahsanteni sana na weekend njema.
 
Back
Top Bottom