T Tanya JF-Expert Member Joined May 4, 2013 Posts 340 Reaction score 159 Jan 5, 2014 #1 Samahanini wenzangu wana JF hivi lini baraza la mitihani wanaanza kusajili Private Candidate kwa Advanced level? Nataka kureseat mwaka huu. Mwenye uelewa anisaidie. Wenu mtiifu Tanya
Samahanini wenzangu wana JF hivi lini baraza la mitihani wanaanza kusajili Private Candidate kwa Advanced level? Nataka kureseat mwaka huu. Mwenye uelewa anisaidie. Wenu mtiifu Tanya