Usajili Man Utd kulikoni?

Usajili Man Utd kulikoni?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Zimebaki wiki mbili kabla ya pre season ya Man Utd ianze mwishoni mwa mwezi huu lakini mpaka leo hakuna usajili wowote uliofanyika.

Mashabiki wa Man Utd wana matumaini makubwa sana Kocha mpya wa Man Utd, Eric Ten Hag (ETH), lakini matumaini hayo yanaweza yakayeyuka kama hatopewa/kusajiliwa kwa wachezaji ambao watafiti mfumo wake.

Ikumbukwe Man Utd imetangaza kuwaacha wachezaji kadhaa ambao wamemaliza mikataba yao kama vile Paul Pogba, Matic, Mata, Lingard huku wakitegemea kuwauza akina Aaron Wan Bissaka nk

Baadhi ya timu barani ulaya zipo bize na usajili, kama Real Madrid, Spurs, nk lakini Man Utd wapo kimya mpaka sasa...

Je, ETH anaanza kuandaliwa mipango ya kufeli kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake? Tatizi ni nini pale Man Utd??
 
Unalalamika hata dirisha la usajili halijafunguliwa
Hata kama bado, ila dalili ya mvua ni mawingu na siku zote biashara asubuhi. Madrid washafikia makubaliano na Tchouameni so dirisha likifunguliwa tu wanamtangaza. Sisi tunakwama wapi?
 
Mchezaji gani ataacha kwenda team inayoshiriki UEFA champions league aende europa league bakini na hao kina rashford kwanza mpaka mfuzu UEFA.
 
Zimebaki wiki mbili kabla ya pre season ya Man Utd ianze mwishoni mwa mwezi huu lakini mpaka leo hakuna usajili wowote uliofanyika.

Mashabiki wa Man Utd wana matumaini makubwa sana Kocha mpya wa Man Utd, Eric Ten Hag (ETH), lakini matumaini hayo yanaweza yakayeyuka kama hatopewa/kusajiliwa kwa wachezaji ambao watafiti mfumo wake.

Ikumbukwe Man Utd imetangaza kuwaacha wachezaji kadhaa ambao wamemaliza mikataba yao kama vile Paul Pogba, Matic, Mata, Lingard huku wakitegemea kuwauza akina Aaron Wan Bissaka nk

Baadhi ya timu barani ulaya zipo bize na usajili, kama Real Madrid, Spurs, nk lakini Man Utd wapo kimya mpaka sasa...

Je, ETH anaanza kuandaliwa mipango ya kufeli kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake? Tatizi ni nini pale Man Utd??
Ulikuwa mbele ya muda
 
Mchezaji gani ataacha kwenda team inayoshiriki UEFA champions league aende europa league bakini na hao kina rashford kwanza mpaka mfuzu UEFA.
Duniani kuna wachezaji wazuri na vipaji kibao wasio na majina.

Sidhani kama timu zisizoshiriki eufa hazina mvuto wa kupata wachezaji wazuri..

Man u sio real Madrid ambayo inasubiri mchezaji star tayari.
 
E9D64380-B772-4D07-8F8F-CA3036B16183.jpeg
 
Back
Top Bottom