Usajili :Niyonzima ataka dau kubwa yanga

EdLach

Member
Joined
Jun 19, 2017
Posts
5
Reaction score
3
Habari ya Niyonzima kuachana na Yanga imeniumiza sana bora hata angesaini timu nyingine tofauti na mtani wetu. Hii ni sawa na kumuuacha mwanamke aolewe na rafiki yako huku ukimpenda but sio mbaya tutampata kiungo mwingine pengine akawa zaidi yake. Maisha mema Niyonzima huko uendako
 
Nasikia anataka asomeshewe hadi watoto wake.

Niyonzima tulimpenda ila hali ya uchumi sio nzuri kwa sasa.

Walikuwepo akina Lunyamila wakaondoka ila Yanga bado ipo.

Daima mbele nyuma mwiko.
 
Simba wamepigwa.....Niyo anaelekea ukingoni.....

Yanga itaendelea bila Niyo....tunashukuru mchango wake.
 
Hivi hao watoto wapo nursery alio haidiwa kusomeshewa au wapo kidato cha ngapi? Usije watoto wanamiaka 2 kwa 5 akategemea wamsomeshee Kwa mkataba wa miaka 2? Atakuwa amekula kwake. Yeye ajipange kuwasomesha yeye mwenyewe. Wata mgeuka huko mbele hasa akiwa na majeraha ya muda mrefu
 
Yanga hamuwezi kumzuia mchezaji,kwanza hamna hela labda msome arubadiri ndo anaweza rudi
 
Simba wamepigwa.....Niyo anaelekea ukingoni.....

Yanga itaendelea bila Niyo....tunashukuru mchango wake.
Baada ya kumshindwa, leo Simba wamepigwa, kweli akili za wabongo ni za kimakinikia.
 
Aliondoka Ronaldino Barca..itakuwa fabregas wa Kigali
 
Mnashusha thamani yankamusoko

Kumwongeleaa sana niyonzima
 
Hivi yule babu Kamusoko unalingana na fundi Niyonzima kweli. Kamusoko alikimbizwa na kina kichuya kanyanyua mikono kuomba sub!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…